Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Niko poa. Mzima weye?Naamini mmeamka salama...
Nawasalimia tuu napita
Niko poa. Mzima weye?Naamini mmeamka salama...
Nawasalimia tuu napita
Ni kweli kikubwa unatakiwa umtangulize Mungu mbele tuWengine huwa wanaficha makucha, akiingia ndani ya nyumba ni balaa tupu
Nop moja tuId mbili za nini sasa weww?
Hilo jina la alilokuota boo..Yes my napitia pitia stori zenu


Tuko pouwa kabisa...Naamini mmeamka salama...
Nawasalimia tuu napita
Niko pouwa kabisaaThanks shem.
Mzima wewe lakini?
Sawa lakini..Yeah
Mtu na mdogo wake ndio mana unaona hivyoHahaaa!
Hadi avatar za mtu mmoja?
OkeyNiko pouwa kabisaa
Nakupenda..Naamini mmeamka salama...
Nawasalimia tuu napita
Salimia watoto..Okey
Sawa.Salimia watoto..
Kuna siku utaulizwa swali kama lee empire..Nop moja tu
Mbona niliweka clear mkuu...Na huyo lyon lee...?
Who is that?
Mzima mamy, hali yakoNiko poa. Mzima weye?
Wifi yako yuko anatengeneza chai..Sawa.
Msalimie wifi
Nashukuru kusikia hivyoTuko pouwa kabisa...
Ila sio kwa hatua hizo..!
Nianzie wapiiiKweli shemela Baba D aongee kama alishwahi nipa kipigo