Makapuku Forum

Makapuku Forum

7b6dd17064e1b4f76a302dc37bbea926.jpg
 
Katika dondoo za bbc. ..

.....Ikiwa imesalia siku moja kabla ya uchaguzi mkuu nchini Kenya, Katika kaunti ya Nakuru maandalizi yamekamilika kwa mkutano baina ya mkuu wa usalama wa bonde la ufa ujumbe wa waangalizi wa umoja wa ulaya na mkuu wa tume huru ya uchaguzi kaunti hiyo Silas Rotich.baadhi ya makanisa ya nchini humo yametumia muda wa ibada zao kuombea uchuguzi huo.

.....Idadi ya wakimbizi nchini Uganda imefikia million 1.3 na wiki hii wamesherekea utamaduni wa mataifa yao wanakotoka, kwa maonyesha ya vyakula kama njia ya mshikamano.
 
Jihadharini na manabii wa uongo watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa undani ni mbwa mwitu wakali

Mtawatambua kwa matunda yao. Je watu huchuma zabibu katika miiba au tini katika mibaruti?

Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda na mti mwovu huzaa matunda mabaya

MATHAYO 7:15-17

Muwe na asubuhi iliyo njema kwenu na mbarikiwe sana
Asantee mke mwemaa
 
Amen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom