Karibu mkosoaji, sio kila kitu utumie akili nyingi kuelewa...uwaonavyo makapuku ndivyo walivyo, hapa ni kijiweni kwao, hujadili mambo yao, kwa mda wao kwa zamu kutegemea na ratiba ya kila mtu, pia kila kundi humu au mtu na mtu huongea mambo yao huku wakijua wafanyacho, kwa mgeni ni ngum kuelewa labda uusome mchezo kwanza.