Makapuku Forum

Kawaida tu mdau

Kesho & keshpkutwa km muda unaruhusu andika tu upate uzoefu
Mi sitakuwepo hapa milele na hata kazi zikibana nitakuwa sina muda wa kuwepo hapa kuandika nondo tena ila now muda unanieuhusu ila kuanzia km tareh 10 hivi km ratiba ikienda sawa naweza nisiwep for a week or more(nitakuwepo kwa kuchungulia au kuchat kidogo)
Tukutane kesho
......
Hahaaaa....

Bitoz..

Kuandika Top Ten ni mziki..
 
Pamoja mdau..
 
Boringo naipenda sana asante kwa mziki mzee wa saa mpya
 
Ndio shemeji japo nategemea ninapo enda kujifunza ninatakiwa nikutane na mtu alie nizidi uwezo wa kiutendaji ili niige au nijifunze toka kwake lakini ninapo onana na mtu ambae tuko sawa tunajikuta yunakosa cha kufundishana
Wataalamu wetu wengi hawana practical, na hili ni tatizo kubwa sana

Pole shemeji
 
Wataalamu wetu wengi hawana practical, na hili ni tatizo kubwa sana

Pole shemeji
Asante shemeji ila ndo watu tunategemea watuvushe vijana tufike hadi hatua ya kujiajiri kama watalamu nilio pata nafasi ya kutembelea mabanda yao nimesikitika maana Maelezo yao ni ngumu kutuvusha tunapo takiwa kufika

Nimefika hadi banda shirika moja la serikali wananipa majibu ya kukalili badala ya kunipa majibu ya swali walilo ulizwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…