Makapuku Forum

Leo katika Historia


1936 - Waziri Mkuu wa Ugiriki, Ioannis Metaxas anavunja Bunge na Kuvunja Katiba pia kwa kutoitambua, na kuanza utawala wa Kidikteta ktk Nchi hiyo.

Baada ya kuvunja katiba akaanza kutawala kifashisti akifuatisha sera za role model wake(Mussolin)
Alifariki Januari 1941 na ukawa mwisho wa utawala wake.....Wagiriki wakisema Mungu ni mkubwa wala sio vibaya !!!
.....
 
Leo katika Historia

1984 - Nchi ya Upper Volta yabadili jina lake na kuanza kutambulika kama Burkina Faso.
Mabadiliko yaliongozwa na Che Guevarra wa Afrika Thomas Sankara
Hakuishia kubadili tu jina bali pia kubadili maisha ya Wabukinabe kutoka umaskini hadi kukaribia nchi ya asali na maziwa ila mwisho wa siku akauawa baada ya kutawala kwa miaka mochache tu.........akili zetu Waafrika !!!
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…