Makapuku Forum

Makapuku Forum

8/James Patterson
329e26dac88ce9389162a5a6484a2481.jpg
ae3aa5b7400735cc1f092299af0a048d.jpg
Alizaliwa Machi 22 mnamo mwaka 1947
Huyu ni mwandishi mahiri wa riwaya na vitabu mchanganyiko
Yaani anajua kusimulia katika namna rahisi kama yule mtu wetu wa Jf hivyo ukishindwa kumwelewa basi kichwa chako kimejaa tu matatizo yako ya kimaisha
Ukisoma vitabu vyake ni km unamuona anakusimulia
249f009a5b810141a5b0e06157b42616.jpg
fc2274b4c5955b5399849f3b5ac2bf4a.jpg
ddb1091bcf9985d2fcbce2bc68e1c2e2.jpg
Kitabu chake funika bovu ni Along Came A Spider ila jamaa ana vitabu kibao vizuri kama unapenda kujisomea vitafute
Anajua !!!
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom