Yesu akawaambia hamkupata kusoma katika maandiko
Jiwe walilokataa waashi, hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni, Neno hili limetoka kwa Bwana, nalo ni ajabu machoni petu
Kwa sababu hiyo nawaambia, ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapeaa taira lingine lenye kuzaa matunda yake
Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika vunjika, naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki.
MATHAYO:21:42:44
Mbarikiwe jamaan muwe na usiku mwema nawapenda sana