Tafadhali moderator na invisible naomba mniambie huyu Amenn ni She au He! ili nijue mapema,maana nataka kutupa nyavu zangu baharini naogopa nisije nikavua nguva.
25,460 replies and counting. Makapuku kiboko haki ya nani. Utafikiri tupo kipindi cha mvuvumko (renaissance) hapa JF. Inafurahisha sana. We are a force to be reckoned with...
Kuna wengi walitamani sana kuiona siku hii ya leo kama ilivyo kuwa kwangu na wewe..Lakin kwa mapenzi ya Muumba imeshindikana na wametangulia mbele za haki...Kwa uzima na afya ulionayo asubuh hii usisite kutumia walau dk 1,2 kutoa shukrani kwa aliye juu na ukimuomba akuzidishie rehema zake katika siku hii ya Leo...Muwe na Jtatu njema ndugu zangu..