Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Madenge ni just rafiki hayo mengine munatupakaziaakukuoneaa kirohoo wakati wewe na wewe na yule nanyule binamu wangu ni kitu kimoja japo unachepuka na bitozi alafu ujue sisi tuna moyo binamu wangu ebhuu muonee huruma ...kukuchukia wewe ni kama animemchukia binamu wanfu wa faida ...TUNAKUPENDA
Afu nyieeeWanaita sukari guru..
Nini Husna wa Madenge na ObeAfu nyieee
Haya ndio maneno ya kusikiabinamu obe atakuwa kwa mama ashura wake au kule kwa mmama anapochaj simu yake na simu atakuwa ameshapokonywa
Asante ma D
Kumbe binamu obe bado katabia hajaacha ?
Shemela vipi tena jaman nyimbo yetu na mguno wakoAisee
Baba D wangu jamaan hiyo umetamka we shemela nani kasema hivyoKwa hiyo yeye ni chizi
Kaanza lini kukufukuza, hivi unajua Obe mimi ndio nimempokea hapa mjinimpendwa obe mjomba ako ananifukuza eti!
Ahahh binamu obe huwa haachi hiyo anapunguza tu kidogo sasa hivi ana mpendwa wake humu kampata kidogo amepunguza
.....maneno kama haya huwa yananikumbusha nimekaa kwa mangi nakula Safari lager ya baridi huku namsikiliza le jenerali Ramadhan Massanja Banza Stone (pka) akiimba ...°√,majungu si mtaji useme utajirikeeee eeee... We miss Banza .
AmenYesu akawaambia hamkupata kusoma katika maandiko
Jiwe walilokataa waashi, hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni, Neno hili limetoka kwa Bwana, nalo ni ajabu machoni petu
Kwa sababu hiyo nawaambia, ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapeaa taira lingine lenye kuzaa matunda yake
Naye aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika vunjika, naye ye yote ambaye litamwangukia, litamsaga tikitiki.
MATHAYO:21:42:44
Mbarikiwe jamaan muwe na usiku mwema nawapenda sana
Mguno wangu ni jinsi mnavyoendana kama sisi vileShemela vipi tena jaman nyimbo yetu na mguno wako
Naweza kumjua ili nitambue uwepo wake
Mdogo mtuBaba D wangu jamaan hiyo umetamka we shemela nani kasema hivyo
Nawe pia mkuuWakuu..
Muwe na usiku mwema.