Leo katika Historia
1950 - Ernesto Samper anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 29 wa Colombia.
Alisifika kwa kutumia vibaya mali ya umma na kujitajirisha sana.
Pamoja sana! Le katibuzAhsanteni kwa kuwa pamoja nami katika hitoria, sina la ziada tukutane kesho kwa udhamini mono wa mwenyekiti wa team weka picha a.k. a Dikteta Mussolin5 niite Jimena Jimenes
Ciao!!
Leo katika Historia
1962 Lucky Philip Dube anazaliwa.
Maarufu kama Lucky Dube alikuwa ni mwanamuziki mashuhuri wa muziki wa rege toka nchini Afrika Kusini.
Aliuwawa kwa kupigwa risasi mwaka 2007.
Ni mwanamuziki pekee wa Regge ambaye hakuwa anatumia kilevi cha aina yoyote ile.
Leo katika Historia
1975 - Wael Gomaa anazaliwa.
Ni beki wa kati wa zamani wa Al Ahly na Timu ya Taifa ya Misri.
Aisee ndio nimejua leo kuwa marekani walipewa msaada
Liberty Enligahtening The Woruld
Mnara huu umetengmenezmwa kwa madini ya shana upo kwenye kisiwa cha Liberty New York
Ulitolewa na Wafaransa kama zawadi kwa serikali ya Marekani
Ulizinduliwa taarehe. 28 Oktoba 1886
......
Leo katika Historia
1981 - Fikirte Addis anazaliwa.
Ni mwanamitindo na mbunifu wa mavazi toka nchini Ethiopia.
Zawadi ni tofauti ni msaadaAisee ndio nimejua leo kuwa marekani walipewa msaada
Hongera kwa 254KPamoja sana! Le katibuz
Leo katika Historia
2015 - Margot Loyola anafariki.
Ni mwanamuziki mashuhuri katika bara la Amerika ya Kusini kutoka nchini Chile.
Sawa kabisaNdiyo hapa ni home, narudi siku yoyote, yakinishinda huko nakimbilia nyumbani.
Kwanza msosi wa bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilikuwa nimetingwa na nilikuwa nje ya mji kwa hiyo nikitulia nitakuja kuweka utafiti hewaWapi utafiti hewa??
Nzuri mpendwa, za chugaKwema hapa wapendwa wangu
AlhamdulillahKumekucha salama ...Tumshukuru Mwenyezi Mungu
Wewe watu tushakula mbuzi ndio unakuja babu...?Labeka...
Mefanyaje mimi babu yenu?
Babu wa mieee apaaLabeka...
Mefanyaje mimi babu yenu?