Makapuku Forum

Leo katika Historia

2004 - Mnara wa Liberty huko Marekani " Liberty Statue " wafunguliwa upya mara baada ya kufungwa kwa muda baada ya kutokea mashambulizi ya kigaidi ya September 11, 2001 huko Marekani.

Liberty Enligahtening The Woruld
Mnara huu umetengmenezmwa kwa madini ya shana upo kwenye kisiwa cha Liberty New York
Ulitolewa na Wafaransa kama zawadi kwa serikali ya Marekani
Ulizinduliwa taarehe. 28 Oktoba 1886
......
 
Leo katika Historia


1934 - Jonas Savimbi anazaliwa.
Alikuwa ni kiongozi wa kikundi cha Waasi kilichojulikana kama UNITA ambacho kilikuwa kinapambana dhidi ya Serikali ya nchi ya Angola.
Savimbi alifariki dunia mwaka 2002.

Alikuwa akisapotiwa na CIA
Askari wake kariba ya Yuda Eskariote ndio waliochangia kuuawa kwake baada ya kuvujisha siri kwa serikali mahali alipojificha msituni
....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…