Na we pia mkuuView attachment 556817Nawatakieni siku njema Mbarikiwe sana makapuku wote
Niaje chalii yangu aiseee?
NiajeeeKk Shukran sn kitu cha viceroy c mchezo![]()
Asante mkuu habari za mapambano na maishaKaribu
Njema shemeji habari za kupambana na kujipatia mkateShemeji za siku
Huku nzuri kabisa japo nilikuwa sipo nimeingia Jana ila kila kitu kiko sawaNzuri mndali, habari za Sugu city
Nawe pia
KwemaaAsante mkuu habari za mapambano na maisha
Asante huku kwema kabisa mkuuKwemaa
Nzuri shemeji, tupo tunapambanaNjema shemeji habari za kupambana na kujipatia mkate
Huku nzuri kabisa japo nilikuwa sipo nimeingia Jana ila kila kitu kiko sawa

Nashukuru kwa kuwa mungu ametupa uzima na kutufanya tupambane vyemaNzuri shemeji, tupo tunapambana