asante dada namshukuru mungu yanaenda habari ya kupambana na maishaSalama hbr ya uzima,pole na majukumu
KaribuWakuu habari zenu niliwamisi sana nimepita leo niwape salamu tu
Mungu awape afya njema na awape uvumilivu na kila pito tunayo pitia kama wanadamu
Hakika umenenaKumekucha salama ...Tumshukuru Mwenyezi Mungu
Shemeji za sikuasante dada namshukuru mungu yanaenda habari ya kupambana na maisha
Nzuri mndali, habari za Sugu cityWakuu habari zenu niliwamisi sana nimepita leo niwape salamu tu
Mungu awape afya njema na awape uvumilivu na kila pito tunayo pitia kama wanadamu