Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Kipimo cha mkemia mkuu ni Evidence from an expert ila ishu hapa ni kwamba Mkemia yupo upande wa serikali na pia serikali ndo inayomshtaki Madame hapa lazima kuwe na utata pia huwezi tu kimzoa mtu kitaa na kuchukua mkojo wake bora hata hospitali tunajipeleka wenyewe
Uchumi upi ?
Nawe pia mdauHabari za asubuhi
Mabibi kwa mabwana
Wake kwa waume
Wakubwa kwa wadogo
Nafikiri mmeamka salama na kuzikabili changamoto za maisha
NiwatakieJumatano Njema
.......
Wataalamu huko marekani wamegundua kuwa sokwe wa kike ndo mnyama pekee duniani ambaye hufika kileleni wakati akifanya ngono huku akijisikia utamu mwingi kuliko mnyama yeyote yule ambapo wanasema pamoja na mambo mengine sokwe hao hujamba mara 4 ikiwa ni ishara ya utamu na kukamilika kwa tendo hilo,na baada ya hapo hupumzika kwa masaa 6 bila kujishughulusha na kitu chochote kile ikiwa ni ktk hali ya kusikilizia utamu ule....
Aidha wataalamu hao wamesema kuwa kutoka na kuzidiwa na utamu huo sokwe huweza kukaa kwa miezi 5 bila kufanya ngono..
By Dr Martinez H.M (VMD)
American Federal Research Istitute

Leo katika Historia
1990 - Iraq yaivamia Kuwait na kusababisha kuzuka kwa vita vya Ghuba.
Leo katika Historia
1998 - Vita ya pili ya Congo yaanza.
Pia hujulikana kama vita ya Dunia ya Afrika.
Leo katika Historia
2014 - Watu 146 wanafariki baada ya kutokea kwa mlipuko huko Shanghai na wengine kujeruhiwa.
Leo katika Historia
1925 - Jorge Rafael Videla anazaliwa.
Alikuwa ni Jenerali na Rais wa 43 wa Argentina.
Leo katika Historia
1982 - Helder Postiga anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Ureno.
Leo katika Historia
1984 - Giampaolo Pazzini anazaliwa.
Ni straika wa Kiitaliano anayecheza klabu ya Hellas Verona. Pia aliwahi kuchezea Inter Milan na Ac Milan.
Leo katika Historia
1989 - Nacer Chadli anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa Miguu toka Ubelgiji na klabu ya Tottenham.
Leo katika Historia
1997 - Fela Kuti anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwanamuziki mahiri toka nchini Nigeria.
Alipenda sana totoz katika enzi wa uhai wake na inadaiwa alikufa kwa ngoma
![]()
![]()
At age of 58
Mmoja kati ya wanamuziki bora wa mudacwote Afrika & dunia kwa ujumla Lady Shakara
......
Pole mkuuMakapuku mmeshindaje ...uku mtaani kwetu vimbarara vya tra vmevamia vnafunga maduka etu. Vip uko kwenu?
Sent using Jamii Forums mobile app