R I P ...na pole kwa dikteta kwa kuondokewa na rafiki yakeLeo katika Historia
2006 - Martin Mbawala anafariki Dunia.
Alikuwa ni classmate wa kapuku mwenzetu Mussolin5 vidonda vya tumbo vilimuondoa Duniani.
Leo tunaadhimisha miaka 10 toka auache mwili, pumzika kwa amani Kaka.
Yap anikulapo alikua hapitwi na sket alikua Fundi Sana!Leo katika Historia
1997 - Fela Kuti anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwanamuziki mahiri toka nchini Nigeria.
Alipenda sana totoz katika enzi wa uhai wake na inadaiwa alikufa kwa ngoma
Karibu ankaliAsante kwa magazeti ankali
Dini hiyoAisee
Morning ankaliMorning family
Hapa umechanganya madesaWewee nshakukatazaa mazoea na mke wangu
Sikutambuiii
Sijachanganyaa huyu ipo siku atakuwa mzee wa kung'oaHapa umechanganya madesa

Ghuba ya UajemiLeo katika Historia
1990 - Iraq yaivamia Kuwait na kusababisha kuzuka kwa vita vya Ghuba.
HBD helderLeo katika Historia
1982 - Helder Postiga anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Ureno.
RIP FelaLeo katika Historia
1997 - Fela Kuti anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwanamuziki mahiri toka nchini Nigeria.
Alipenda sana totoz katika enzi wa uhai wake na inadaiwa alikufa kwa ngoma
Asante ankali kwa historiaSina la ziada, tukutane tena kesho hapahapa.
Kwa udhamini wa Miaka 10 ya kifo cha Martin Mbawala
Niite Jimena Jimenes
Ciao
Ulimkopy JimenaSijachanganyaa huyu ipo siku atakuwa mzee wa kung'oa![]()
![]()
![]()
Wakati huku kwetu wakulima na wafugaji wanapigana mapanga na marungu wazungu wanajiandaa kwenda sayari ya Mars ulima matikiti na kichunga mbuzi
AsanteHabari za asubuhi
Mabibi kwa mabwana
Wake kwa waume
Wakubwa kwa wadogo
Nafikiri mmeamka salama na kuzikabili changamoto za maisha
NiwatakieJumatano Njema
.......