Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Achana naeee...yeah, just a tip of the iceberg
Achana naeee...yeah, just a tip of the iceberg
Kipapai tu hakimtoshi, tumpige na kinanasi tunamshushia na kipepsi. Asituchezee kabisa huyu

Ahsante mdauView attachment 555146Sina la ziada kutoka magazetini Tukutane tena kesho
Nawatakieni siku njema
Ahsante mdauKatika dondoo za bbc. ..
- Mkurugenzi wa mawasiliano katika ikulu ya Marekani atimuliwa siku kumi tu baada ya kuanza kazi.
- Uchunguzi umeanzishwa kubaini kifo cha afisa wa tume ya uchaguzi Kenya.
- Burundi inasema utaratibu haikuzingatiwa iliponyimwa fursa kuandaa mkutano wa COMESA.
- Na je unawafahamu wagombea watatu wa urais katika uchaguzi unaowadia Rwanda?
Ha ha ha ha ha ha.... Mimi mzee mambo hayo Ya kwenu vijanaWewe nshakujua unataka niachikee kwa shuniee
Na kiki zako zote zitafeliii make huu mwishowe utamshaurii awe na nyie wazee point yako eti vijana tunadamu inachemka
Kwema sanaHabari za asubuhi mabibi na mabwana
Wake kwa waume
Wakubwa kwa wadogo
Nafikiri mmeamka salama na harakati za kutafuta mawe zinaendelea fresh
Niwatakie Jumanne Njema
.....
Umeamka na tpngotongo niniLeo katika Historia
Ni tarehe 1 mwezi 8 Mwaka 2016.
Imebaki miezi takribani minne kabla ya mwaka huu kuisha.
Karibuni tuanze historia yetu sasa..
Pamoja sana bitozAhsante mdau
Uwe na siku njema
.....
Nzuri mdauHabari za asubuhi mabibi na mabwana
Wake kwa waume
Wakubwa kwa wadogo
Nafikiri mmeamka salama na harakati za kutafuta mawe zinaendelea fresh
Niwatakie Jumanne Njema
.....
Leo katika Historia
1876 - Jimbo la Colorado latambulika rasmi kama jimbo la 38 huko nchini Marekani.
Leo katika Historia
1914 - Ujerumani yatangaza rasmi vita dhidi ya Urusi na hivyo kupelekea Vita kuu ya kwanza ya Dunia kuanza.
Ndo maana anamsumbua mjukuu wangu.... I will have to consider my options....yeah, just a tip of the iceberg
Leo katika Historia
1960 - Nchi ya Dahomey yajitangazia Uhuru wake toka kwa Ufaransa.
Dahomey ilikuja kufahamika baadae kama Benin.
Leo katika Historia
1960 - Mji wa Islamabad watangazwa rasmi kama mji mkuu wa Pakistan.
Leo katika Historia
1961 - Waziri wa Ulinzi wa Marekani anashauri kuanzishwa kwa Shirika la Ujasusi la Jeshi la Marekani na kufanya Marekani kuwa nchi ya kwanza yenye kutumia ujasusi wa Kijeshi.
Leo katika Historia
1981 - Televisheni ya MTV yaanza rasmi kurusha matangazo yake huko Uingereza.
Morning broo ...naona leo umeninyooshaSalamu wakuu