Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika historia itawajia hivi punde tu kwa udhamini wa Chia seeds
d4c3deae70c72dcdead65b9f9293feb4.jpg

Kwa bei ya shilingi elfu 10 tu jipatie chia seeds zako sasa
 
Leo katika Historia

1960 - Nchi ya Dahomey yajitangazia Uhuru wake toka kwa Ufaransa.
Dahomey ilikuja kufahamika baadae kama Benin.
 
Leo katika Historia

1961 - Waziri wa Ulinzi wa Marekani anashauri kuanzishwa kwa Shirika la Ujasusi la Jeshi la Marekani na kufanya Marekani kuwa nchi ya kwanza yenye kutumia ujasusi wa Kijeshi.
 
Leo katika Historia

1976 - Nwanko Kanu anazaliwa.
Nyota wa zamani wa mpira wa miguu toka nchini Nigeria aliwahi kutamba na timu za Ajax, Arsenal na Portsmouth.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom