Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Unamtetea eenh akuje ajibu kwa nini alifunga pmHahaha
Ilikuwa ni net tuu bhanaa
Unamtetea eenh akuje ajibu kwa nini alifunga pmHahaha
Ilikuwa ni net tuu bhanaa
AmeenNakupenda pia sana jaman nafurahi sana kukuona ukiwa na furaha na amani
Ndioo mdogo wanguKumbe utani
Hahahatutaandamana
SawaaaaUnamtetea eenh akuje ajibu kwa nini alifunga pm
I am back! Though still not in a good position to have me here in fully..Love mike ....hope porini kwetu kila kitu kiko poaa
Bibiee kidogo akufweee bt thanks u good
I am back! Though still not in a good position to have me here in fully..Love mike ....hope porini kwetu kila kitu kiko poaa
Bibiee kidogo akufweee bt thanks u good
To know that you are okay is more than enoughI am back! Though still not in a good position to have me here in fully..
Kitu linamo ndani ya nyumba!Hii salamu ni double standard![]()
![]()
Afternoon to you boss

! I am back! Though still not in a good position to have me here in fully..
Shemeji yangu Transcend jaman mana dada kanitumia text karibia 20 za furaha za kukuona ungeniulia mtu ujue sasa hivi ana bakuli la 5 la mtori furaha ya kukuona




Kumbe unajuaNg'ombe hazeeki maini
Nakupenda wewe mwanamke..To know that you are okay is more than enough
Miss you too mond..!Aaaah bro karibu sana Nilikumiss aisee
I won't love
JoohNawasalimuni wapendwa.....![]()
Kula ushibe mama! Nakujaa....Hahaha
Umeonaee... Ni mwendo wa mtori tuu


Miss you too mond..!
Habari za forodhani?
Nooo shunie..!T jamaan ulitaka kuniulia dada angu au