Makapuku Forum

Ahsante mdau
Nikutakie siku njema
......
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha binamu njoo uonee mm navonuniwaa hapa tamu nanyimwa wikiii ...

Swty darling kivuruge cha mtima ..nyonga mkalia ini cheupe bonge wangu kama sio m .....nakupendaa na binamu hana nia nzuri na ndoa yetuu


...mjomba wewe unampenda aunt na analijua hilo, usisikilize kabisa maneno ya wazee wa fitna. Mimi nitaongea naye, mimi na wewe ndugu bhana
 
Habari za asubuhi mabibi na mabwana
Wake kwa waume
Wakubwa kwa wadogo
Niwatakie wiki yenye baraka
....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…