shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Amen, nawe pia[emoji524] Mbingu ni mali yako nchi nayo ni mali yak, ulimwemgu na vyote viujazavyo ndiwe uliyeuoiga msingi wake
Kaskazini na kusini ndiwe uliyeziumba, tabori na hermoni hulifurahia jina lako
[emoji524]
ZABURI:89:11:12
Muwe na usiku mwema [emoji120]