Makapuku Forum

Story ya leo inasikitisha sana aisee yaan nawaza tu apa muendelezo wa kesho halaf huyu babu bubu wanawake wote sio wauaji bana wasemee wako uliokutana nao huko ndio wauaji

Baba D asante sana kwa story jaman
Alimpa moyo binti Mariamu akaambulia kichapo toka kwa baunsa kule bichi huyu mwingine kamuoa yakamkuta yaliyomkuta

Kwanini asiwaogope hao wanawake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…