Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Na nani tena jaman kamfumania binamuBinamu katekwaa
Kafumaniwaaa
Na nani tena jaman kamfumania binamuBinamu katekwaa
Kafumaniwaaa
Me zaidi jamaan Baba D wangu [emoji8] unatembea na roho yangu jamanNakupendaa
[emoji3][emoji3]Ukorofi huo na mumeo
Na sie tunakuona ujue mke mweeNawaonaa
[emoji3][emoji3][emoji3]Nshakuweka ww ni mbaya wetu
[emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
Me sijui jaman mke mweeKwamna husna alisahau handbag kwa madenge
Muziki wa Wikend: Kama Jana Unaiita Zamani, Kesho Utaiitaje?
........nakusalimia ama baada ya salamu mimi ni mzima wa siha njema. Hofu kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu. Ninakukumbuka sana Kapuku mwenzangu yaani hadi mtima wangu unalia ndu ndu ndu, na usichanganye mdundo huu na lile daraja la Ndundu.
Unataka niseme nini kwako wewe uliyelifanya Jukwaa likawa juu kama mkata umeme wa Tanesco? Kapuku Forum ni sehemu nzuri kwa sababu wewe upo na unalijua hilo, asante kwa magazeti, sala, UF, BBC, historia, sports na sogozi ambazo zimetufanya tuwe na wakati mzuri.
Wikend hatuna mengi sana na jitahidi unitumie simu ya barua maana ukinijibu kwa posta itachukua muda, barua zangu zinapitia sanduku la shule na unakumbuka mambo ya c/oSM Shamaliwa, Nyakato Mza. Na ukinidipu stojua umenipigia maana posta na simu bado zimeungana.
Tuburudike na muziki wa zamani japo meseji hazijabadilika yaani kama EMS, TMO, Fax na kulamba stamp.
Na usisahau vijimambo vya mtaani baada ya kumaliza shule
Aiseeee![]()
End
.......
Hapana buana shemelaHata ya D itakuwa feki, shemela buana [emoji3] [emoji3]
[emoji3][emoji3]fake wakina jjD naye ni feki, aisee
Ahahah wapo jaman wakiongozwa na mondrayNani sasa hana mke humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nashukuru kwa kulitambua hilo shemela wangu, kweli ukweli huwa hupindishi [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Binamu yangu kafanyaje shemela lakiniBinamu wa shunie ukuje huku
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Obeeeeeeee [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
Mzeewakungoa... Lakini siombi msaadaNani sasa hana mke humu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mzeewakungoa... Lakini siombi msaada
Na babu yako kakiriAhahah wapo jaman wakiongozwa na mondray
Maneno yako mwenyewe [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hapana buana shemela