Makapuku Forum

Leo katika Historia


1844 - Franz Wolfgang Mozart anafariki.
Alikuwa ni mpiga kinanda, gita na piano kutoka nchini Austria.
Ni mmoja kati ya wapiga piano bora kabisa katika historia ya Ulimwengu.
Pia alijulikana kama Little Mozart.

Alikuwa na miaka 35 ru

Nimewahi kumuelezea kwenye 10 kubwa ya wananuziki bora wa muda wote
....
 
Tata sio Mhindi wa India. Hebu hakikisha vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Na yeye ni binadamu hukosea na pia hujisahau
Hata mimi nakosea mara kibao
Ila najibu kwa kurekebisha kosa na sio kusema tu imekosewa

Afadhali hapo ulipoonyesha kwamba umemrekebisha
Shukrani mdau
.......
 
Leo katika Historia


2013 - Christian Benitez " Chucho" anafariki Dunia.

Ni mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ecuador.
Alikuwa swahiba wa Antonio Valencia
Ndani ya uwanja walitengebeza combination iliyowafanya watambe na Ecuador yao alikuwa ni tegemeo
Alikipiga Birmingham City pale England ila wakati akifariki alikuwa keshahama
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…