Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
0:0Mechi ya Simba imetokaje?
0:0Mechi ya Simba imetokaje?
Una roho mbaya sana.25000
Natupia mimi
Braza tufanyeje ili na sisi tuibuke washindi?Nimekosa tena
Kwa yesu sawa.Hutaki kusafishwa na Yesu?
Hapana braza smart ni smart tu.Poa mkuu,lakini naamini hiyo pia ni smartphone
Ni sawa na nikanunue kitimoto DubaiHamia Yanga tu maana ndo wajanja pekee waliobaki mjini
Mkereketwa wa ukweli weweKaribuni sana Yanga
Miaka ile tulikuwa vizuri sana...Juma K Juma, Pawassa, Ulimboka, Christopher Alex Massawe, Lubigisa Madata, Waso, Shekhani Rashid, Yahaya Akilimali, Mzee wa Kiminyio, Machupa, daah...nimetamani kuliaDaaa wamchangani ila inauma hadi unakumbuka miaka ya 2000
Tumevumilia vya kutosha mkuuPole, ila vumilia tu.
Hata hivyo mimi siponyi il Yesu.Kwa yesu sawa.
Ila si kwako.
Hhahaha.Hata hivyo mimi siponyi il Yesu.
Japo umezoea kuvuliwa nguo na waganga wa kienyeji
NimekuhujumuMusolin kazingua
nikisema kweli ndo nakuwa fake!Hhahaha.
We kweli fake pastor.
Pole mkuu...sikuwa najuaUmenihujumu mkuu.
25000
Umetupia.
Labda kama tulienda wote.nikisema kweli ndo nakuwa fake!