Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Hamna,napiga mwenyewe.Usifanye hivyo braza, ngoja na sie wanyonge tupate.
Hamna,napiga mwenyewe.Usifanye hivyo braza, ngoja na sie wanyonge tupate.
Nasubilia adui muombee njaa ukipigwa itakua furaha kwangu ukishinda ntakuambia umebahatishaKwanza naanzaa na waAngola kwenye confederation
Wabongo ndo mlivyo hivyoNasubilia adui muombee njaa ukipigwa itakua furaha kwangu ukishinda ntakuambia umebahatisha
Poa poaKuna kitu nimeweka jaribu kuchek mkuu.
Hamia Yanga tu maana ndo wajanja pekee waliobaki mjiniNimechoka kuitwa wa Mchangani
Daaa wamchangani ila inauma hadi unakumbuka miaka ya 2000Nimechoka kuitwa wa Mchangani
Umefikisha braza?Just wait
Hilo nalo ni tatizo sasaAsilimia kubwa ya wagunduzi wameshakua vichaa.
Karibuni sana YangaDaaa wamchangani ila inauma hadi unakumbuka miaka ya 2000
Bado kidogo tuUmefikisha braza?
Hiyo timu hata kwa pesa sishabikiiKaribuni sana Yanga
Yani ole wakeMwambie kabisa maana hachelewi kusema.
Hahahaaa...7bu hawatishi tena
![]()
![]()
![]()
![]()
...................
Pole, ila vumilia tu.Nimechoka kuitwa wa Mchangani
Atakiona cha mtema kuni.Yani ole wake
Kwani bado ngapi?Hamna,napiga mwenyewe.
Kabisa yani,asilogweAtakiona cha mtema kuni.
Tena ni kubwa sana.Hilo nalo ni tatizo sasa
Ikikaribia uniambie Mkuu maana natumia Itel t2090 haina jf app.Bado kidogo tu