Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Wewe unalala sana.Hausemagi hata mimi!?
Wewe unalala sana.Hausemagi hata mimi!?
Alafu mkuu mbona nowadays unapotea sana.Ni kweli kabisa, ukiwa na shida lazima ushughulishe akili yako
Bado kidogo tu
Usiwaze.
Mimi ndo ntapost sasa.Niko makini sana
All the bestMimi ndo ntapost sasa.
Braza u-busy mwingi ndo maana.Wewe unalala sana.
Ukipost nakamata mende nakula.Mimi ndo ntapost sasa.
Pole sana bro.Braza u-busy mwingi ndo maana.
Asante braza, lazima niingie kwenye ushindi.All the best
Design nzuri sana hii, nimeipenda.![]()
Sisi wengine tunafanya maigizo ya maisha.
Hata hivyo unakimbizaAsante braza, lazima niingie kwenye ushindi.
Hivi wale wagen wa jana waliokuzimia wako wapiPole sana bro.
Ndiyo ukubwa huo.
Wamepotea mkuu.Hivi wale wagen wa jana waliokuzimia wako wapi
Au ameenda Mwadui (Shinyanga) kutafuta madini apate mkwanja wa kuja kutamba mjini.Asante, sina hakika maana sijaonana nae tena toka kipindi kile tulivyouza ile nyumba ya urithi
Naona mmeanza kuzinguana.All the best
Pm nimeweka air condition ina upepo mzuri asee hadi mwenyewe utapapenda madam.Hapa ndio pazuri,hali ya hewa safi. Huko pm joto
Naliona hilo tatizo la kukataliwa, au una kikwapa kikali mkuuWamepotea mkuu.
Nyota yangu inawaka kwa msimu.
0-0Ngapi mkuu.
Just waitNaona mmeanza kuzinguana.
Nitatupia mwenyewe.
Hata sijui shida iko wapi mkuu,inabidi nimtafute mshana jr afanye mambo.Naliona hilo tatizo la kukataliwa, au una kikwapa kikali mkuu