*﴿ ﺑِﺴْﻢِ ﺍﻟﻠﻪِ ﺍﻟﺮَّﺣْﻤﻦِ ﺍﻟﺮَّﺣِﻴﻢِ ﴾*
*[emoji184]Maneno ya Dhahabu[emoji184]*
*( 121 )*
_*USIHUZUNIKE NA KUIPA DHIKI NAFSI YAKO (2)*_
[emoji843][emoji843][emoji843][emoji843][emoji843][emoji843][emoji843][emoji843]
*لا تحزن يا أخي الحبيب:*
*♡ USIHUZUNIKE NDUGU YANGU KIPENZI:*
*JE KWANINI?*
*◇ لأن الحزنَ لا يردُّ مفقوداً،*
*KWA SABABU: HAKIKA HUZUNI HAIREJESHI KILICHOPOTEA.*
*◇ ولا يبعث ميتاً،*
*WALA HAIFUFUI MAITI.*
*◇ ولا يردُّ قدراً،*
*WALA HAIREJESHI KILICHO QADIRIWA (NA ALLAH MTUKUFU)*
*◇ ولا يجلب نفعاً*
*WALA HAILETI MANUFAA.*
*بل ويخوف من المستقبل ويذهب على المرء يومه....*
*BALI HUTIA KHOFU KUTOKANA NA YAJAYO NA HUIMALIZA BURE SIKU YA MTU BILA FAIDA.*
*♡ فيا أخي الحبيب ...*
*NDUGU YANGU KIPENZI.....*
*لماذا الحزن؟*
*HUZUNI YA NINI?*
*[emoji839] فإن كنت فقيراً فغيرك محبوس في دَيْن،*
*IKIWA WEWE NI FAQIRI, BASI (USIHUZUNIKE) BALI TAMBUA KUNAWENGINE WAPO MAHBUSU KUTOKANA NA MADENI.*
*■ KWA MAANA, BADO WEWE UTAKUA NA UNAFUU ZAIDI, JAPO NI FAQIRI LAKINI BADO UPO HURU.*
*[emoji839] وإن كنت لا تملك وسيلةَ نقلٍ فسواك مبتور القدمين،*
*NA UKIWA WEWE HUNA CHOMBO CHOCHOTE CHA USAFIRI, (LAKINI UNAYO MIGUU) BASI USIHUZUNIKE, KWA SABABU WAPO WENGINE HATA HIYO MIGUU HAWANA (WAMEKATWA KUTOKANA NA MARADHI)*
*[emoji839] وإن كنت فقدت ولداً فسواك فقد عدداً من الأولاد في حادث واحد.*
*NA IKIWA HUNA MTOTO, BASI PIA (USIHUZUNIKE) KWANI WAPO WENGINE WAMEPOTEZA IDADI KUBWA YA WATOTO KATIKA TUKIO MONA TU.*
*■ USIHUZUNIKE DAIMA, KWANI HALI ZA SHIDA NA RAHA KWA MUUMIN ZOOTE NI KHERI KWAKE.*
قالَ رَسُولُ اللهِ صلى الله عليه وسلم:
*Asema Rasulu (ﷺ)*
*"عَجَبًا لأَمْرِ المؤمنِ إِنَّ أمْرَه كُلَّهُ لهُ خَيرٌ ليسَ ذلكَ لأَحَدٍ إلا للمُؤْمنِ إِنْ أصَابتهُ سَرَّاءُ شَكَرَ فكانتْ خَيرًا لهُ وإنْ أصَابتهُ ضَرَّاءُ صَبرَ فكانتْ خَيرًا لهُ"* {رواهُ مُسْلِمٌ}
*[emoji433] MAANA YAKE:*
_*“Ni ajabu jambo la muumini, hakika mambo yake yote ni kheri na hilo haliwi kwa yoyote isipokuwa muumini, akipata yenye kufurahisha anashukuru na hivyo kuwa ni kheri kwake, na akipata lenye kudhuru anasubiri na hivyo kuwa ni kheri kwake.”*_
*[emoji818] NAAMINI KAMA UTAKUA UMESOMA KWA KUZINGATIA, BASI HAUTOKUA TENA NA SABABU YA KUHUZUNIKA.*
*{إِنَّمَا يَتَذَكَّرُ أُولُو الْأَلْبَابِ}*
_*Hakika wenye akili ndio wanao zingatia,*_
[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
*الدعوة اﻹسلامية.*JUMUA MUBARAK
Ahsanteni kwa maombi[emoji524] Nimekukimbilia wewe Bwana nisiabike milele kwa haki yako uniponye
Unitegee sikio lako uniokoe hima uwe kwangu mwamba wa nguvu , nyumba yenye maboma ya kuniokoa
Ndiwe genge langu na ngome yangu kwa ajili ya jina lako uniongoze unichunge
Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri maana wewe ndiwe ngome yangu
Mikononi mwako naiweka roho yangu umenikomboa , Ee Bwana Mungu wa kweli [emoji524]
ZABURI:31:1:5
Mbarikiwe sana muwe na asubuhi iliyo njema [emoji120]
Leo katika Historia
1954 - Hugo Chavez anazaliwa.
Alikuwa ni kanali katika Jeshi na baadaye kuja kuwa Rais wa nchi ya Venezuela.Komredi Chavez anakumbukwa sana kwa misimamo yake na isiyoyumba dhidi ya Marekani.
Ni moja kati ya Makomredi walioisumbua sana CIA kando ya Komredi Fidel Castro.
Alifariki mwaka 2013, wengi wanashuku kifo chake kilitokana na faulo toka kwa Marekani.
Sijui shemela, ila hilo Gazeti linasema hivi, yeye hakai na wanaumeKwani wolper bado harufu inaendelea aisee
Amen, ubarikiwe sana mtoto wa Mama mchungaji, nawe pia siku njema[emoji524] Nimekukimbilia wewe Bwana nisiabike milele kwa haki yako uniponye
Unitegee sikio lako uniokoe hima uwe kwangu mwamba wa nguvu , nyumba yenye maboma ya kuniokoa
Ndiwe genge langu na ngome yangu kwa ajili ya jina lako uniongoze unichunge
Utanitoa katika wavu walionitegea kwa siri maana wewe ndiwe ngome yangu
Mikononi mwako naiweka roho yangu umenikomboa , Ee Bwana Mungu wa kweli [emoji524]
ZABURI:31:1:5
Mbarikiwe sana muwe na asubuhi iliyo njema [emoji120]
How are you Shululu?Morning
Leo katika Historia
1971 - Abu Bakr Al Baghdadi anazaliwa.
Ni kiongozi wa kundi hatari la Kigaidi la Islamic State. ( ISIS )
Mama wa viporo kwenye ubora wako aisee mpaka utufikie kesho kutwa hiyoShaaa....!!! Kumbe mliniteetaa
Na kwako pia BitozAhsanteni kwa maombi
Niwatakie Siku njema
....
Itakuwa ni hiyo harufu shemela mwanaume gani atavumilia inataka moyo sana ujueSijui shemela, ila hilo Gazeti linasema hivi, yeye hakai na wanaume
Asante shemelaAmen, ubarikiwe sana mtoto wa Mama mchungaji, nawe pia siku njema
Leo katika Historia
1981 - Michael Carrick anazaliwa. Ni kiungo wa Man Utd. Moja kati ya wapiga pasi hodari wa Kiingereza.
Leo katika Historia
1985 - Mathieu Debuchy anazaliwa.
Ni beki wa kulia wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa.
Hongerakwa 249k kwaIla kuna kipind nilizima wifi...usiku sana itamalizaa
Leo katika Historia
1990 - Soulja Boy anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka Marekani.
Leo katika Historia
1993 - Harry Kane anazaliwa.
Mshambuliaji wa Tottenham na timu ya taifa ya England.
Naomba jiona umalizie ile ya Che GuevarraHongerakwa 249k kwa
Ahsante mdau
[emoji15] [emoji15] [emoji134]10/Ronald"Ronnie" & Reginald"Reggie" Kray
Hawa mapacha waliishi maishi ya kijanjajanja tu
Hawa umaarufu wao umetokana na tabia yao ya utapeli,wizi, mauaji,ukabaji na kila aina ya upuuzi waliokuwa wakiufanya katika kitongoji cha East End London mahali walipokuwa wakiishi miaka ya 1950 na 1960'
Pamoja na uhalifu wao huo waliofanya kwa kificho waliweza kumiliki klabu ya usiku na hivyo kifahamiana na mastaa kibao na hivyo kupata shavu kwenye vyombo vya habari na pia kupiga assist kwa mastaa
Mwaka 1968 walitiwa mbaroni na kutupwa jela maisha
..............
Da ngoja mie nije kubembea
Chat chat chat
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mdundiko wa kihindi