EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Unaweza gundua na ghafla ukawa chizi.Ugunduzi mwingine ni shiiida
Unaweza gundua na ghafla ukawa chizi.Ugunduzi mwingine ni shiiida
Simba anazingua.
Usimsemee maana tunazima taa mara moja tu.Naangalia tu! Uandae kabisa takrima ya kunibembeleza ili nipokee rushwa nisikusemee kwa kaka!
Mwambie kabisa maana hachelewi kusema.Ha haaa hakuna cha takrima wala mbembelezo wowote. Na ole wako useme
Ila kweli.Hahahaha.
Unajua ukiwa na shida ya kitu lazima utafute alternatives.
Me mwenyewe naweza hamia ChamaziSimba anazingua.
Siku si nyingi nahama
Tuhame brother.Me mwenyewe naweza hamia Chamazi
Hahahaa... Le prezdaa mbona unapenda kuita Kimba badala ya Simba?![]()
Kimba:
Azam
.........................
Hakika...Azam Fc wananishawishiTuhame brother.
Young Africans karibuni sanaMe mwenyewe naweza hamia Chamazi
Tuhame brother.
7bu hawatishi tenaHahahaa... Le prezdaa mbona unapenda kuita Kimba badala ya Simba?
Huu msimu ukiisha nahamia azam.Hakika...Azam Fc wananishawishi
Hiyo utaendelea kushabikia wewe.Young Africans karibuni sana
Atakuwa amejifungua mtoto, hivyo analea.Alafu mkuu mbona nowadays unapotea sana.
Ninakumis kweli....
Hamjapanda ndege hamjapanda ndegeHiyo utaendelea kushabikia wewe.

Hahahaaa....Ukipost nakamata mende nakula.
Asante braza.Pole sana bro.
Ndiyo ukubwa huo.
Tukipanda hatuishii uarabun tenaHamjapanda ndege hamjapanda ndege![]()