Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524] Wakati huo asema Bwana nitakuwa Mungu wa jamaa zote za Israel nao watakuwa watu wangu

Bwana asema hivi watu wale walioachwa na upanga walipata neema jangwani yaan Israel hapo nilipokwenda kumstarehesha

Bwana alinitokea zamani akisema naam nimekupenda kwa upendo wa milele ndiyo maana nimekuvuta kwa fadhili zangu [emoji524]
YEREMIA:31:13

Muwe na usiku mwema mlindwe
na damu ya Yesu [emoji120]
 
Amen mtumishi
 
Back
Top Bottom