Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Sawa Katibu, uwe na usiku tulivuUsiku mwemaa kapuku .muutendee haki usku mwemaa
Sawa Katibu, uwe na usiku tulivuUsiku mwemaa kapuku .muutendee haki usku mwemaa
Alifanya nini?Hivi ban yake mpaka leo
Sio faida bali ni uhakikiNa ukijua utafaidika nn
usiku mwema
Madame S
Kama ni Ban kweli, basi MMU sio kuzuriKama ni ile ban mpaka leo
Pamoja na maongeze yenu ya usiku humu, kila wakati mko kwenye maombi yangu nikiwakumbuka katika bundle mnazotumia kusikiliz muziki mzuri kama huu unaokujia mida hii ya usiku mnene
Na kwako pia Madame Susiku mwema
Madame S
Wa Baily5Lala utamu
nashukuru sana aunt. Unajua kuchagua vitu vizuri
ila kuna mahala anaimba sijaelewa, anasema talaka tatu au tako tatu? Kama hujaisikiliza usiweke majibu machafu hapa




binamu nimecheka sana aise ni takota zungushaa takota kamata woiiiiii
Ahahhah wamemaanisha wewe kazi yako shem ujueEti shem wane kuna zamu humu?
asanteni kwa kampani yaani nimechangamka hadi kunguni wanaulizana tumuume au tumuache alale maana anatabasamu sana leo.
Ahahha mmu huko kwenye uzi mmoja wa watu aliweka mapicha ya matusiAlifanya nini?
Ili ugundue nini shem ukishahakikiSio faida bali ni uhakiki