Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Binamu ndio ujionee sasa ila mpendwa wako anakupenda sana na kakukubali na kila kitu chako ulivyo...halafu huyu ni mjomba wangu eti jamani!!! Yaani anko wako anakufanyia fitna za waziwazi kabisa tena sio hata za kiwiziwizi.
Haya yamemshinda, huko unakosema anaenda atayaweza? Ni kama aweze kubeba gunia la mchele la mpunga aweze

naomba tu niwekee sasa hivi jaman