Makapuku Forum

Makapuku Forum

Apo anatakiwa Coutinho awe kati.. Mane kulia Salah kushoto... Firminho false 9. Utastarehe.
Ni kweli ila nazungumzia apate hizo 80 kibindoni alafu mane atibue kati make mapafu anayo kuanzia nyuma ya mstari mpaka ndani kabisa

Ila ikitokea kudaadeeekiiii jamaa hajauzwa na Mane arudii jamvini weka na guu la dhahabu la Salah daaadeeekii Liverpool kama nawaona wakitesa kwa zamu ...ila mabeki ndo nina wasiwasii ...

Ila msimu hujao patakuwa patamu make hata westham kaamua ...
 
7/Roger LaFontant
ed9ebc9d1e64cb67532771fa8c7cf71e.jpg
5ea442ff84823ad7319487673718fbe5.jpg
Alizaliwa mwaka 1931 na kufariki dunia 1991 akiwa na miaka 60
Huyu alikuwa kiongozi wa kijeshi huko Haiti ambapo mwaka 1991 alikuwa Rais kwa masaa 24 tu
Rais alijiuzulu hivyo Katiba ya nchi hiyo kumpa madaraka Jaji Mkuu Estha Pascal Trouillot ambaye aliitisha Uchaguzi wa kidemokrasia
Lakini bwana mkubwa Fountant akatumia fursa hiyo kufanya mapinduzi na kujitangazia Urais

Lakini ghafla bin vuuuu wajanja zaidi yake wajampindua ndani ya masaa 24 tu yaani wakati anaamka tu huko Ikulu hata swimming pool hakugusa

..............
 
Ni kweli ila nazungumzia apate hizo 80 kibindoni alafu mane atibue kati make mapafu anayo kuanzia nyuma ya mstari mpaka ndani kabisa

Ila ikitokea kudaadeeekiiii jamaa hajauzwa na Mane arudii jamvini weka na guu la dhahabu la Salah daaadeeekii Liverpool kama nawaona wakitesa kwa zamu ...ila mabeki ndo nina wasiwasii ...

Ila msimu hujao patakuwa patamu make hata westham kaamua ...
Bado wiki mbili tu mbivu na mbichi tuzijue
 
6/Joseph Goebbels
2fc5ffb62bc836b7695c1d273a4b04d6.jpg
8f933951b27496c4eaeb71c3b42b0cc5.jpg

Alizaliwa 1897 na kujiua mwaka 1945 akiwa na umri wa miaka 47 Huyu alikuwa Kansela wa Ujerumani kwa muda wa masaa 5 pekee mwaka 1945 May 1
Wakati Vita Kuu ya Pili ikiendelea na Adolf Hitler kuonekana kuzidiwa akaamua kumteua swahiba wake Goebbels kuwa Kansela akiamini ni Waziri wa Propaganda ndo pekee anayeweza kumuokoa jahazi lake linalozama

Lakini hata kabla hawajaanza propaganda zao za Hamphrey Polepole wakagundua wamezingirwa hivyo kuamua kujiua
Jamaa kaonja ukansela masaa yasiyozidi matano pekee

.........................................
Zitaendelea baadaye
 
Usijali Van jik na keita watastabilize defence... Keita probably the best defensive midfielder on the planet. Hao Leipzig na Southampton wanasumbua mahakama tu... Watachota mzigo Wanataka Hawataki.
 
10/Sultan Khalid Bin Bargash
c7e51578062c3b7c441aaa64d41a1092.jpg
713afc3eddd2e862ca06e9ad8344a7a4.jpg

Huyu alikuwa Sultani wa Zanzibar mnamo mwaka 1869 baada ya kifo cha binamu yake lakini akaonja madaraka kwa siku mbili tu
Waingereza baada ya kusikia Bargash kawa kiongozi wa Zanzibar walimpa masaa 24 aachie madaraka kwa hiyari yake lakini akawagomea na kupelekea baada ya siku moja kupita Waingereza watume meli zao za kivita na wanajeshi
Hapo ndo ikazaliwa vita iliyojulikana kama Anglo Zanzibar War ambayo ilidumu kwa muda wa dk 38 pekee iliyoisha August 27 1869 na kuwa Vita fupi zaidi kuwahi kutokea duniani
Wakati wa vita hiyo Wazanzibar waliokufa na kujeruhiwa ni 500 wakati Mwingereza aliyeumia ni mmoja pekee, boti mbili zilizama

Hivyo jamaa alitawala kwa siku 2 tu
.............
Huyu wa siku 2 nae katisha
 
5/Boris Yeltsin
ecace9321b02e553fc75758354aa19c2.jpg
98a5cbf3c244e27ef07db058ccb4d9ac.jpg
614aede5e039e0bc20eb5d090e3bd8d8.jpg
Alizaliwa mnamo mwaka 1931 na kufariki dunia 2007 akiwa na miaka 76 baada ya kupambana na maradhi
Huyu mzee alijiteua mwenyewe kuwa Waziri mkuu wa Urusi mwaka 1998
Hii ilikuwa wakati yeye akiwa Rais na mgogoro wa kisiasa ukiwa umepamba moto hivyo akaamua kumpunguzia majukumu Waziri Mkuu kwa kujiteua yeye mwenyewe
Baada ya kukosolewa vikali na wananchi wake na wapinzani na kuambiwa ni dikteta na mzee wa kukurupuka akaamua fasta kuachia huo Uwaziri na kumteua mtu mwingine

Yaani ndani ya masaa manne tu...kukurupuka ni kubaya!!!

.............
 
4/Skender Gjinushi
51723b7774b7ed774cd1572c12ca61f6.jpg

2a0eefd31e321576f5d47168006ec8a8.jpg
6cd413ceedaa6228f59570d36402238b.jpg

Alizaliwa Disemba 24 1949
Huyu alionja Urais wa nchi ya Albania kwa muda kiduchu kama masaa mawili au manne tu
Ilimuwa mwaka 1997 baada ya uongozi wa kibepari wa Sali Berisha kushindwa uchaguzi wa kidemokrasia halafu kukataa kuachia madaraka hivyo Spika Slender akaamua kuchukua madaraka kwa mujibu wa katiba kuwa Rais wa mpito
Kisha Bunge la Albania likaamua kumtangaza mshindi halali wa Uchaguzi Mkuu Rexhep Meidani kuwa Rais mpya wa Albania

Hii ilifanyika ndani ya masaa manne pekee

...........
 
3/Carlos Manuel Piedra
61cc9bccfc1f53841562b4c15ffb11b0.jpg
79c2c69f418072ff64685eadf48689b9.jpg
4b5eac014d7745ed889043b33018e5a1.jpg

Alizaliwa mnamo mwaka 1895 na kufariki dunia 1988 akiwa na miaka 93
Huyu alikuwa Rais wa mpito kwa muda kati ya masaa 2 hadi 5 baada ya kujiuzulu <b>Fulgencio Battista</b> mwaka 1959
Hii ilikuwa baada ya Makamu wa Rais naye kuingia mitini kufuatia mapinduzi yaliyoongozwa na vijana akina Fidel Castro, Camilo Confuegos n.k
Katiba ilikuwa ikimraka Jaji Mkuu mwenye umri mkubwa zaidi ndo achukue madaraka hivyo Piedra akatangazwa Rais mpya halafu fasta ndani ya nasaa machache akina Castro walikuwa washaiteka Havana hivyo akakimbilia Ubalozi wa Marekani na akina Castro kuchukua madaraka

Yaani alidumu kati ya masaa mawili au manne tu

..............
 
2/Siaka Stevens
782da69fbd91bb41004c518a6fa69416.jpg
d35149c768e0add43fefd3abb377d771.jpg
45063988dd57f9da547b67aef857512a.jpg

Alizaliwa mwaka 1905 na kufariki dunia mwaka 1988 akiwa na umri wa miaka 82.....aliwai kuwa Rais wa Sierra Leone kuanzia mwaka 1971 hadi mwaka 1985
Huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Sierra Leone mnamo March 21 1967 aliapishwa kuongoza Taifa hilo
Lakini ndani ya nusu saa tu waasi wakamzingira na kumkamata hivyo kuwa nwiaho wa utawala wake wa kiKassimu Majaliwa
Baadaye akafanikiwa kurudi madarakani kuanzia mwaka 1968

Yaani alitawala nusu saa tu mwaka 1967 kama Waziri Mkuu

............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom