Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
1/Prince Luis Felipe
Kama mnavyojua utawala wa kifalme mrithi hujulikana mapema hata kabla ya kifo cha Mfalme
Sasa mwaka 1908 Mfalme Carlos wa Urenoaliuawa papo hapo wakati wa ziara ya kifalme ambapo pia mwanawe Luis Felipe alijeruhiwa
Sasa wakati anawahishwa hospitali tayari alitambulika km Mfalme japo alikuwa bado hajavalishwa taji rasmi...ndani ya dakika 30 akafariki dunua akiwa njiani kupelekwa hispitali kutokana na kupoteza damu nyingi
Yaani jamaa alikuwa Mfalme kwa nusu saa tu
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesho
Mwisho
..................

Ee Bwana uyasikilize maneno yangu ukuangalie kutafakari kwangu 