shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
KaribuKwa udhamini mnono wa lukaku tupate tetesi. ..yaaah Lukaku hataki kufananishwa na mtu yeyote OT ....jambo jemaaa
Dogo anaumiza watu vichwaManchester City hawajapanda dau lolote kumtaka Kylian Mbappe, na wala hawana mpango huo, ingawa Pep Guardiola amesema Real Madrid hawana 'msuli' mkubwa wa kifedha kama wa City. (Sky Sports)
Hii ni kweli, nimeiona muda si mrefuKiungo mshambuliaji wa Liverpool Philippe Coutinho anakaribia 'sana' kujiunga na Barcelona (Mundo Deportivo)
Ila kiukweli bora wamuze alafu mzee mwenyewe akisubiri Mane apone aforce formation itakayoruhusu Salah na Mane wakitibue katiii kwa kuiba make uzuri wa miguu ya Salah ni kunyumbulika akicheza winga ....Samahani Rafiki... Coutinho is priceless.
AiseeMan City wazee wa kurundika![]()
Mbappe akiwa na 14 yrs
Chumba chake kimejaa picha za CR7
.....
Real Madrid wamefikia makubaliano na Monaco ya kumsajili Kylian Mbappe kwa euro milioni 180. (Marca)

Ila watu wanaumizwa tuSiku hizi kuna Video Assistant Referee
Magoli ya kibwegebwege hakuna
....
Anataka kujenga great wall au?
Kwelii kiongozi tumepoteana ila muhim uhai na uzimaLee empire katika Harakati zake..No Kitambo Mkuu Alafu![]()
Jamaa wamechachamaaAnataka kujenga great wall au?
Hbr ya jion baba watoto,pole na mihangaiko ya cku
Watachemka...tatizo la man city sio nyuma ....formation iliwawia ngumu kuanzia katii na wanakosa mawinga nguvu kazi ... na katiiHuyu Jamaa Yupo Motivated kweli..And He Is going to Build A great wall
Kuna watoto wengine tofauti na jjHbr ya jion baba watoto,pole na mihangaiko ya cku
Hata mimi naonaHuyu Jamaa Yupo Motivated kweli..And He Is going to Build A great wall
Msimu uliopita yalikuwa haya haya at the end kapoteaJamaa wamechachamaa
Apo anatakiwa Coutinho awe kati.. Mane kulia Salah kushoto... Firminho false 9. Utastarehe.Ila kiukweli bora wamuze alafu mzee mwenyewe akisubiri Mane apone aforce formation itakayoruhusu Salah na Mane wakitibue katiii kwa kuiba make uzuri wa miguu ya Salah ni kunyumbulika akicheza winga ....