Huo ndio ukweli mond we cheka tuShumii umenichekesha walahi eti wengine vichwa ngumuu hahaaa..
Ahahhah unajua mnuno wake eenhNajua mwaya
Baba DKuna niniii
Kuna niniii
Mafumbo hayo vipi... Ila mdogo wangu ukishajua aina ya watu uloko nao kwenye jamii ni rahisi sana kuishi nao!!!Acheni madongo jamaan daah humu wote watu wazima mjue ndio mana watu wengine wanapaogopa sana wengine wametoka kila mtu ana uhuru wa kufanya anachojisikia msipende kukwaza wengine na mafumbo badilikeni mtaharibu jukwaa ukiongea sio lazima umfumbie mtu jamaan
Ni kweli dada lakini ukiendelea kufumbia macho hili swala linaendelea ujueMafumbo hayo vipi... Ila mdogo wangu ukishajua aina ya watu uloko nao kwenye jamii ni rahisi sana kuishi nao!!!
Nilipo inaoneshwa kwenye kebo ....channel ya Kiarabu
Hii inaoneshwa TV gani ukiacha Eupersport
Kwa online ?
Siioni Skysport
.....
Hakuna sababu ya kufa na nyongo....Kweli husna sio vizuri kama swala la shimba kaamua mwenyewe kutoka msimuongelee basi hata kwa mafumbo lakini mambp hayaishi ndio mana anakujaga kujibu me bwana ukikosea nakwambia kama utakasirika nisamehe tu
Karibu shemelaaMafumbo hayo vipi... Ila mdogo wangu ukishajua aina ya watu uloko nao kwenye jamii ni rahisi sana kuishi nao!!!
Ni kweli dada lakini ukiendelea kufumbia macho hili swala linaendelea ujue
HahahaMie nimeshamaliza endeleeni na yenu ndio mana watu wanapashindwa humu si wengine vichwa ngumu tu
Ewaaaaa kumbe unalijua hilo dadaHakuna sababu ya kufa na nyongo....
NambieeeBaba D
Pamoja dadaHuo ndio ukweli mond we cheka tu
Nakupenda tuuuNambieee
AmenNalo neno la Bwana likamjia likinena huyu hatakurithi bali atakayetoka katika viuno vyako ndiye atakaekurithi
Akamleta nje akasema tazama sasa mbinguni kazihesabu nyota kama ukiweza kuzihesabu, akamwambia ndivyo utakavyokuwa uzao wako
Akamwambia Bwana naye akamhesabia jambo hili kuwa haki
Kisha akamwambia mimi ni Bwana niliyekuleta kutoka uru wa wakardayo nikupe nchi hii ili uirithi
MWANZO 15:47
Muwe na mchana mwema
Ubarikiwe Dada akeeAmen
Na wewe pia mamy
Sio wa nchi hiiAhahhah unajua mnuno wake eenh
Watajua wenyewe, maisha yenyewe haya.... Kuanza kuwekana kwenye mabano ni utoto tuu.... Mwambie mtu ukweli akueleweNi kweli dada lakini ukiendelea kufumbia macho hili swala linaendelea ujue
Najua mdogo wanguEwaaaaa kumbe unalijua hilo dada