Makapuku Forum

Ahsanteee

Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
Inategema ni kinga ya kitu gani unaitumia,kama unatumia kinga ili usimpe ujauzito ambao hujapanga na mpenzi/mkeo/mumeo hii ni sawa.Lakini kuvaa kinga ili ujikinge na kisichokuwepo ni tatizo....

Ukimuacha "mwenzio" na hamu kuna hatari moja au mbili...

1;Atakupiga chini
2;Atatoa utam kwa wengine

Nje ya hapo hakuna hatari yoyote ile....
 
Hahaha ahsante lakini umekoti signature

Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
 
Najifunza
 
Asante mkuu kwa elimu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…