Makapuku Forum

Kwanza binamu umetokea wapiiii

Mm niko poa ila nimeshangaa sana kukuona make mateka wa asubh najua faida zake ...

Najua simu umetumia ya muhudumu wa gest ....yako ninayo na nitakachokifanya kwenye simu yako utanijuaa


...anko tuliza kwanza, habari nyingine sio za kuziweka fondi fenti, ziweke kwenye habari za international watu hawasomagi sana.

Kama simu unayo wewe basi roho yangu imetulia, pale nilipowaacha na yule nesi nilijua kanichomolea simu yangu. yaani hata maombi nimeyafanya huku roho inadundadunda
 
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
Na hapaa nasomaa ulichomwandikiaa judy ....hivi binamu unanitakiaa nn lakin ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…