Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
King'ang'aniziiiiHapana baba d akili kichwani mwako sio kila unachoambiwa ufate
King'ang'aniziiiiHapana baba d akili kichwani mwako sio kila unachoambiwa ufate
Mwakeye,ulimo?!wavyuse nde?! Zi muhila?!
Kweliiii...kwani anko tulikubaliana vipi, wewe kumbuka, hili jumba bovu tumwangushie shetani
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kabla sijakusalimia kwanza nikuulize swali. Umeamka salama mjomba wangu?
Si unajua njia ya kwenda kazini lazima uchepuke, unachupukia ile njia ya kwa kina Pili halafu ndo najiandaa na michepuko yangu wiki hii yote. Hesabu za michepuo zinahitaji maandalizi. Mimi ni mwalimu wa hesabu, wewe mjomba unajua
Ila wewe mwanamkeee loooooh nakufwaaa jamaaaaaniii[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] sichoki kukupenda lee wangu
Weee mwambiee ajee[emoji134] [emoji134] ujue hapa nambembelezana naye harudi we unachotaka kukifanya utasababisha atoke tena baba d
Nakuwekaa kwenye listWanavyokugombaniaga saaasa km mpira wa kona yaani
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Umeamka salama mrembo wa moyo wangu, yaani umeupa moyo wangu kazi ya muhimu zaidi. Kukupenda wewe, damu itasukumwa hata na figo
Woiiiiii ni kimakonde hiko binamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndakukunda chane, ulahoze
Ukatae jamanKing'ang'aniziiii
Mmmmmh kumbe ulikuwa siliasiiNdakukunda chane, ulahoze
[emoji134] [emoji134]...kwani anko tulikubaliana vipi, wewe kumbuka, hili jumba bovu tumwangushie shetani
Tutakuwa tunatoka woteeUkatae jaman
Leo katika Historia
1993 - Israel inaivamia Lebanon katika kile kilichojulikana " Operation Accountability " Na Lebanon wanatangaza vita ya siku saba dhidi ya Israel.
Kama hivyo baba d bora asije ujue ataondoka ukianza mambo yakoWeee mwambiee ajee
Cc.mpendwaKwahiyo binamu ndio anakutafutia hao wahamiaji haramu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmmh kumbe ulikuwa siliasii
Hapo sawa kila sehemu tunakuwa woteTutakuwa tunatoka wotee
Yaaaaap zile sehemu muhimuHapo sawa kila sehemu tunakuwa wote