...hapana sijasahau, naweza kusahau ombi la mwingine yeyote sio husna muba na analijua hilo maana kila nikimfikiria na nahisi kuwa karibu na yeye zaidi.
Huwa napenda kutoa time kidogo ili chaguo lisiathiri nyimbo ambayo nakuwa nimepanga kuicheza siku husika. naamini unaelewa ninachomaanisha.
Oowh asante nasubiri kwa haaaaammachaguo ya Wadhamini yatakujieni baada ya muda mfupi na tuna machaguo matatu leo Juu wa V.Mdee, Mariah wa Madame na ule wa kipenzi changu
Usinikmbushee lile timbwilliii dadeeeekii nikikuchekii umekazana twende twendeee....
Nginja nginjaaaa hospital hiyooooo....ila walituokoaaa
Niliendaa kujipozaa wewe kijashoo kinene
Hivi positive si ndo alama kama ya kutenganisha jina yaaan mfano husna kutoa obe
ShubaamiitiiiHusna uwe unasoma kimya kama hutak kuskip ...shwaaaaaaaaaaaiiiiiiiiin
Kipenzi chako yupiiii mbona humtaji jinamachaguo ya Wadhamini yatakujieni baada ya muda mfupi na tuna machaguo matatu leo Juu wa V.Mdee, Mariah wa Madame na ule wa kipenzi changu
Yeah hakika,Husna wa Uswaz
.....
Kipenzi chako yupiiii mbona humtaji jina
Nenda FacebookNaomba picha tafadhali
Kwani UKIMWI ulitoka kwa wanyama/sokwe
Mi sichungi mbuzi tu pia nastarehe nao
......
Asanteee sanaaa ubarikiwe mnooChaguo la Wapendanao
Nimerudi tena maana sijachelewa, wala kusahau, unajua chaguo la muziki unalopenda siwezi kusahau. Amini hivyo, bado nakumbuka hata chaguo la Jimena ambalo Bitoz alisaidia kupandisha ngoma za J.Lo. Umeamini sasa sisahau?
Anaitwa Maria Carey, huyu sitaki kumulezea sana maana anajulikana na hata wasiopenda miziki ya kidunia. Ni chaguo la Madame S kwenda kwa mahabua wake Bailly5
Na linafuatiwa na la Shunie kwenda kwa anko wangu lee empire (afu mjomba eti mimi nafanana na Chalie Chaplin? Nimeambiwa nikuulize na mzeewakungoa )
Ni kweli anytime nalishushaaTupe darasa mkuu
Ahaaaaa nomaaaa mdauuuWw km siku 3 hukuwepo hapa
Nilianza kuzileta na zipo post za nyuma huko
Ww na Kunsime mimi na Chaplin
Mpaka video zake zikauke
......
Chaguo la Wapendanao