Makapuku Forum


Ha hahahahah, walikimbia sana na hasa yule ambaye kanisani ndo anasoma matangazo na wanakwaya kiongozi. Ila anko ulikuwa unatetemeka japo ulivaa suti lakini niliona hadi colar inatetemeka.

usingeongea na yule mpimaji sijui ingekuwaje, tukajinywea supu yetu swaafi. si ndo siku ile uliondoka na yule mhamiaji haramu au ni baada ya hapo.
 

umekosea, niliweka alama ya msalaba, si unajua tena sikutaka kuonekana silijui kanisa,
 
 
Usinikmbushee lile timbwilliii dadeeeekii nikikuchekii umekazana twende twendeee....

Nginja nginjaaaa hospital hiyooooo....ila walituokoaaa


Niliendaa kujipozaa wewe kijashoo kinene
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…