Makapuku Forum

Unajua shululu ni rahisi sana kusema hivo sababu haujakumbwa pengine na hali hiyo

Ila pamoja na kua unajua fika mienendo yako, kupima ukimwi kunakuaga na shock flani hivi yan sjui inatokaga wapi

Madame S

..yaani unakuta mtu ana mpenzi mmoja tu au hana kabisa lakini kila mwezi anaenda kupima! Huku ni kuharibu rasimali za serikali, wapime wahitaji.

Yaani ukipima halafu ukatoka negative unapaswa ushitakiwe kwa kuchezea vifaa tiba vya serikali.
Huwa sitakagi mchezo kwenye masuala ya mali za umma🙁
 
post using my macbook air using jamiiforums app
 
Unajua shululu ni rahisi sana kusema hivo sababu haujakumbwa pengine na hali hiyo

Ila pamoja na kua unajua fika mienendo yako, kupima ukimwi kunakuaga na shock flani hivi yan sjui inatokaga wapi

Madame S
Shock inakuja pale unapokumbuka viwanja ulivyocheza maana vingine huna imani navyo hivyo lazima uwe katika hali hiyo
 
You gonna shock if you usually doing sexual intercourse....but if you always use protections (condoms) you won't be afraid....

Good evening madame s,

post using my macbook air using jamiiforums app
condomizing is never a 100% protection unless you are just bumping and grinding, not handyman/tongueman and you reside in minuteman street
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…