Makapuku Forum

Huu ugonjwa ni hatari sana aisee
 
1/Ugonjwa wa Moyo Moyo ndo injini ya mwili na waswahili husema kazi ya moyo ni kusukuma damu ..kupenda ni kiherehere Huu ndo ugonjwa mbaya zaidi duniani..huweza husababisha na sababu mbalimbali km vile,.. kisukari, shinikizo la jyu la damu na uzito uliopitiliza
Kwa kugundua uzito wa tatizo hili serikali imeanzisha Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete pale Muhimbili
Ndio ugonjwa unaomsumbua Yusuf Manji ila bwana yule na jamaa yake hawamwonei huruma wamekomaa tu na Mhindi wa watu ...tumuombee

Huua watu takribani milioni 7.2 kwa mwaka
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
........
 
Asantee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…