Ugonjwa mbaya sana huu2/KiharusiKitaalamu unaitwa Stroke kwa Lugha rahisi ni kupooza
Ikumbukwe ili ubongo iweze kufanya kazi unahitaji hewa ambayo husafirishwa kupitia kwenye damu hivyo chakula cha ubongo ni damu sasa kiharusi hutokea pale damu inapofeli kufika ubongoni au kufika chini ya kiwango kwa sababu mbalimbali mfano mishipa kupasuka, shinikizo la juu la damu n.k
Mgonjwa wa kiharusi sio tu hupooza mwili bali pia akili
Huua watu 6.1 Milioni kwa mwaka
.................
Ohoooo kwa hiyo kumbe tunapima kila malaria?Aisee, ukienda kupima malaria huwa wanapitiamo
Ungonjwa hatari sana huu3/Maambukizi katika njia ya upumuaji
Hakuna mswahili asiyeujua ugonjwa wa pumu
Pia juzijuzi kuna kapuku mwenzetu kapoteza maisha kutokana na maradhi ya upumuaji{RIP Ibra)
Huu ushambulia mfumo wa upumuaji...Unaweza kuwa pneumonia au bronchitis
Tunasisitizwa kufanya mazoezi,kula vyakula salama kwa afya,kuishi kwenye nyumba zenye hewa swaafi yaani madirisha yanayoruhusu hewa kupita,pia tupandikize miti nyumbani,kuepuka kazi za vumbi n.k
Husababisha vifo 3.5 Milioni kwa mwaka
.........
Tunapima hatufanyi matangazoJuzijuzi tu nimepima kitu -ve
Ila sibweteki
Kapimeni jamani
.....
Mi mwenyewe nimeuguza balaa na mwisho nikampumzsha mtu muhimu kwenye familiaUgonjwa mbaya sana huu
Wapendwa wangu baadhi wameondoka nao
Anajua ni maksudi tuKwani hajui
Hawaoni kabisa, kwa wajanja huwa wanavuta wakiwa nusu uchi ili harufu ipotee, kisha ni mwendo wa strawberry gumHalafu bange kwenye kile kipulizio cha.matrafic huwa haionekani kama ulevi.
Utamaduni wake unamruhusuJ.Lo cha wote
Pia kapiga sana picha za utupu
Kwa mastaa wa majuu ni fasheni
....
Ondoa shakaHata maelekezo mkuu waweza kuja pm tu
Hii ndiyo yenyewe, ngoja usiku ufikeNimekusogezea kitu kingine toka kwa mkali wa wakali Charlie Chaplin
Amegoma mke mweeSawa mama mchuchu kagoma jumla
Santee mama jjKaribuni sana mke mweee
Hivi ndio yule wa Monaco?Yap wamepata beki
Zile hazina dealPoa nikipata mudanitafuatilia
Najua tu zile CD 4 sijui
....
Mi nampenda hatariiJlo jembe la ukweli
Weka aiseeYa maneno yako juu ya Liverpool
Kila kitu kina madhara kinapozidi, hata bangi ukiizidisha ina madharaKabisa
Bangi haina madhara zaidi ya stimu
Cuzzo upo?Tunapima hatufanyi matangazo