Acha wakome tuKwa nini hivi jamani...
MMU
Mimi niliiona "New Posts" ndo nikachungulia
Watu wana magroup yao ya whatsapp wakichokana wanataka wanaJf wote tujue
![]()
![]()
![]()
.....
Nimemuona kalike post yangu![]()
![]()
yuko wapi jamaaani
Naye amewamiss sanaMsalmie mwambie tumemmisi
Asante![]()
End
.......
Mama Mchungaji jitokeze jamaniNimemuona kalike post yangu
cio kwa kukumic hukuBinamu yangu umeamshwaje lakini
Nipo vizuri binamu naomba nyimbo ya christina shusho eeh BwanaSalam ni salam, japo kuchelewa kuijibu lakini nasema niliamka salama na niko poa kama navyoamini uko vizuri pamoja na makapuku wote.
Wapendwa kwema ....nimewamis sana post ni nyingi kinyama kinomaaaa inabid niskip sina namna
masaa 8 yamekuwa masiku ila nimeshindwa kuingia kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu