Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,063
Actuchanganye na lugha iliokuja na meli![]()
![]()
![]()

aongee kiswahili hatutaki sie
Actuchanganye na lugha iliokuja na meli![]()
![]()
![]()

aongee kiswahili hatutaki sieZenj huku safi Tu karibu tende hapa nakulaHbr ya zenji
Lee wapNi poa
Zimenishinda hizo vituZenj huku safi Tu karibu tende hapa nakula![]()
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
Yupo safari baba d hajarudiLee wap
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
Mishkaki ya pweza VP watumia?Zimenishinda hizo vitu
Pweza nakula ila mishkaki yake sijawahi kulaMishkaki ya pweza VP watumia?
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
Duuuh alisema masaa nane mpaka sasa hajarudYupo safari baba d hajarudi
Alipokuwa mpaka afike anapoenda ni masaa 8 bado hajarudiDuuuh alisema masaa nane mpaka sasa hajarud
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
Bora asije ubaki na mmAlipokuwa mpaka afike anapoenda ni masaa 8 bado hajarudi
Karibu jioni twende forodhaniPweza nakula ila mishkaki yake sijawahi kula
Naanzaje kubaki na wewe me ni wa lee tu hata akikaa miaka huko alipoBora asije ubaki na mm
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
AsanteKaribu jioni twende forodhani
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
Good Girl I ever seenNaanzaje kubaki na wewe me ni wa lee tu hata akikaa miaka huko alipo
Thank you mondrayGood Girl I ever seen
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
Yes than me ShunieThank you mondray
Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?

Ubarikiwe shemeji nawe pia uwe na mchana mwema..!!Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu u katika Bwana aliyezifanya mbingu na nchi
Asiuache mguu wako usogezwe asisinzie akulindaye.
Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi yeye aliye mlinzi wa Israel.
Bwana ndiye mlinzi wako, Bwana ni uvuli mkono wako wa kuume jua halitakupiga mchana wala mwezi wakati wa usiku.
Bwana atakulinda na mabaya yote atakulinda nafsi yako.
Bwana atakulinda utokapo na uingiapo Tangu sasa na na hata milele
Zaburi 121:1:8![]()
![]()
Muwe na mchana mwema mbarikiwe sana![]()