Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tangu kuzaliwa kwangu sijawahi kumuona chizi/kichaa/mwehu/mwendawazimu akipona ....huwa nawaonaga tu wanatuliza mizuka au vichaa vyao
Mwinyi aliona mbali kulifananisha hilo litimu na kichwa cha mwendawazimu
Kuishabikia Stars ni kujipa stress & magonjwa ya moyo
.....
Mie ndio mana team uzalendo ilinipitia kushoto
 
Leo katika Historia

1892 - Ni siku ya kuzaliwa kwa Mfalme wa Ethiopia, Haile Selassie. Pia ni siku ya Rastafari duniani.

Jah Rasta Fari and I
ca41d42bda73aec7577db79313f594c0.jpg
0121de7b3777e4ba67949846d8f26245.jpg
3f112caa86d0d90a9c7784dbb78ef788.jpg

Sijawahi kuwachukia marastafari sababu tu ya bangi zao....wengi hawana makuu na mtu
Wakati nasoma nilikaa hosteli chumba cha watu wawili mwenzangu alikuwa ni mvuta bange na mnywa pombe aliyetukuka ila hakuwa na ukorofi wowote wala umbea umbea tukaishi vizuri na hadi leo bado ni marafiki tunaoelewana japo tupo mikoa tofauti
Ila chumba cha pili kulikuwa na "mcha Mungu" mkorofi aliyepitiliza na ana mdomo kama kasuku sikumpenda kantu
...........................................................
Napenda kumhukumu mtu kwa matendo anayonifanyia au yanayonigusa/kuniatiri/dhuru moja kwa moja na siyo mambo binafsi ya mtu....kamwe hayanihusu

.
Bongo tunaye baba Tunda(Afande Sele) nasikia anakula nyama sanabu Ni Mtazamo wake binafsi na katumia Darubini kali kujipima
......
 
Wadhamini wa Leo

Nawashukuru sana kwa kuwa hapa na zaidi kuendelea kuwa hapa, sasa tupate mapumziko kidogo ya wadhamini.
Na leo itakuwa ni different a bit as our own buddy, shedede is sponsoring this song, you can sing if you want as we don't talk anymore.

I hate to guess if this choice has something to do with him being shunned (not Shunie ) out with someone I am in elo o vii ii. NOMYB everyobody has their way to cope with stress. Enjoy


Wow! Mr.obe you made my day thank you.....


post using my macbook air using jamiiforums app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom