Makapuku Forum

Makapuku Forum

Watu wazima wanafanya mambo kama watoto kisa id fake waache wanyoshane mmbea huyo akomeshwe tu
Maskini Jf !!!
Majukwaa yanazidi kushuka hadhi
[emoji117]Jukwaa la siasa upuuzi mtupu
[emoji117] Jf doctor&Law+ Educarion yapo kifo cha mende
[emoji117] Jamii Intelligence linapumulia mashine(watu wanaongea hadi mapenzi)
[emoji117] Jukwaa la Utanashati na mitindo nililikuta swaaf nikawa naabdika thread now lipo hoi
[emoji117] Chit chat nayo ishavamiwa unaweza kudhani watu ni matahira kwa jinsi wanavyopost makorokoro
[emoji117] Kuna mtu kalibinafsisha na watu wamemsusia aendelee kuliua
[emoji117] MMU lilishajifia now watu wanamalizia kulizika tu

Kiukweli Jf ya sasa imejaa vituko na ushamba na mashindano ya kijingajinga + watu kuzinguana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
.......
 
Maskini Jf !!!
Majukwaa yanazidi kushuka hadhi
[emoji117]Jukwaa la siasa upuuzi mtupu
[emoji117] Jf doctor&Law+ Educarion yapo kifo cha mende
[emoji117] Jamii Intelligence linapumulia mashine(watu wanaongea hadi mapenzi)
[emoji117] Jukwaa Utanashati na mitindo nililikuta swaaf nikawa naabdika thread now lipo hoi
[emoji117] Chit chat nayo ishavamiwa unaweza kudhani watu ni matahira kwa jinsi wanavyopost makorokoro
[emoji117] Kuna mtu kalibinafsisha na watu wamemsusia aendelee kuliua
[emoji117] MMU lilishajifia now watu wanamalizia kulizika tu

Kiukweli Jf ya sasa imejaa vituko na ushamba na mashindano ya kijingajinga + watu kuzinguana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
.......
Bora tuendelee na kf yetu wajinga wakafie mbele hko
 
Back
Top Bottom