Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Siri za nini tena ...Watu wanatoleana siri huko mmu
Ndo maana sipendagi kufatia thread nje ya hapa
Siri za nini tena ...Watu wanatoleana siri huko mmu
Hakunaaa bhanaaaBaba D lakini mbona majina yana ushirikiano jaman
Za mambo wanayochat pm na group zao za watsapp hukoSiri za nini tena ...
Ndo maana sipendagi kufatia thread nje ya hapa
Hiii jaman jamanii Mungu mtume yalhaaaabiiii....[emoji3][emoji3][emoji3]si ndio hao mapacha kwa avatar yake Baba D kawaweka
Si double j Baba D jamaanHakunaaa bhanaaa
Ndio hao Baba D wa kiume wote [emoji3]Hiii jaman jamanii Mungu mtume yalhaaaabiiii....
Ndo wakina jj??
Yaaan maisha yao wanayarudisha uku kwenye upuuzii ....Za mambo wanayochat pm na group zao za watsapp huko
Nilipo unapajuaa ...mda wa kufunga ngoja nione utaratibu wa kupata access nyingineZa mambo wanayochat pm na group zao za watsapp huko
Ameen Baba D [emoji120] yaan watu wameachana wanayaongea kuwa mambo ya kukopana sijui aisee kama mnaachana achaneni for good jaman kuna leo na kesho haya maisha tuYaaan maisha yao wanayarudisha uku kwenye upuuzii ....
Mungu aniongoze katika hilo...
Sawa Baba D halaf jana kuna picha yako [emoji85] niliibaNilipo unapajuaa ...mda wa kufunga ngoja nione utaratibu wa kupata access nyingine
Wapiiii jamaniiiiSawa Baba D halaf jana kuna picha yako [emoji85] niliiba
[emoji85] [emoji85] dogo alinionyesha nikamwambia anitumie uliiweka kwa dp yako ya whatsapp yako nyingineWapiiii jamaniiii