conductor
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 838
- 715
Badili keyboard settn ya simu yakoSimu ndo hubadilisha maneno automatically sasa nisipoyapitia nakuta kosa tayari
Mfano Obe "b" imebadilishwa na kusomeka One
Shunie 'n" imebadilishwa na kuwa Shumie
Sio kwamba napenda kuyaharibu majina yenu
.....
Siku njema ShululuNatumaini mwenyezi Mungu ametuamsha salama
Tuwe na siku nyingine tena ya ujenzi wa taifa letu
Wanaombea Israel ili iwaje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wamefel kutafsir kitabu Takatifu
Shukran ShululuView attachment 548411Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho Nawatakieni jumapili njema
Badili keyboard settn ya simu yako
Fresh tu mdauHamjambo makapuku wote jumapili ya leo
Kwako pia DingiMtotoAsubuhi njema na siku njema yenye baraka kwenuView attachment 548418
Nashangaa Iman hizWaisrael wao humuombeaga nani?
....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Labda anahitajika kwa shughuli nyingine broMavugo huyu huyu au mwingine?
.......
HatujamboHamjambo makapuku wote jumapili ya leo