Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Akikujibu niite mke mwee ujue me mwenyewe namshangaa binamu yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Akikujibu niite mke mwee ujue me mwenyewe namshangaa binamu yangu
[emoji4] [emoji4] [emoji4] poleee sisemi tenaKuongea mambo ya kuhongwa story ujue mwisho wake nitakatazwa hata kusoma story zenyewe jaman
Hapo sawa ya kule yaishie kule kule[emoji4] [emoji4] [emoji4] poleee sisemi tena
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Na binamu yangu [emoji4]
Mi najisubilia vya bure tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama jj au baba jj akulipie elf 3
[emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi najisubilia vya bure tu
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji106].....nakuona na mie, tunaonana ujue
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nishaitoaAtakuwa kaiweka makusudi
[emoji4] [emoji4] [emoji4] hadi najionaga nimekuwa mkuuuuuubwa yaani yale maghorofa ya kariakoo nayaangalia kwa chini......sio hisia tena aunt, ni ukweli usiona na kutu kuwa nampenda na ninambembeleza hadi namuimbia
Labda[emoji1] [emoji1]
[emoji4] [emoji4] papuchi tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] afu nyieeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ebu mwimbie hapa binamu nione
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4].....hili swali limekaa kisagishaji mashine sana, yaani nachopewa kama cha kuchora
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio south kwa madiba ni south beachbinamu yangu alivyo mchumi sitaki kuamini mie labda kama hiyo safari yote unagharamia wewe
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Oh, simu aliisahau hapa, nitakuletea asipoiijia. Unajua huku porini ngedere contacts zao lazima uende fizikale
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]...safari nagharimika mimi aunt, mimi si mbahili wala mchumi. Tutatembea kwa miguu ili kutunza barabara zetu. Mbona babu zetu walikuwa wanatoka musoma hadi uvinza chumvini kwa miguu kufuata chumvi?!